Rais Magufuli atangaza siku 3 za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Baba wa taifa la Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametangaza siku 3 za Maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad