Rais Magufuli kukutana na Watendaji wa Kata Ikulu leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo atakutana na Watendaji wa Kata wa nchi nzima katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Watendaji wa Kata wote wataingia Ikulu kupitia lango la mashariki (baharini) na mkutano utaanza saa 3:30 asubuhi. Taarifa ya Kurugenzi Mawasiliano Ikulu imeeleza hivyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad