Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa aiomba msamaha Nigeria kutokana na machafuko ya Xenophobia

Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika kusini ameomba msamaha kwa rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na wanigeria wote walioathirika na machafuko dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini.



Kupitia kwa mjumbe wake Jeff Radebe, Ramaphosa amesema tayari nchi yake imeweka mikakati dhabiti ilikuzuia kutokea tena kwa vitendo hivyo vya chuki.

Si Nigeria pekee kwani Ramaphosa ametuma timu ya wawakilishi wake katika nchi saba za Afrika kupeleka salamu za umoja na ushirikiano kutokana na machafuko dhidi ya wageni nchini mwake.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Africa ya kusini ingepaswa iwafundishe watoto shuleni historia ya taifa lao, hususan lilipitia mateso makali ya ubaguzi wa rangi na kupelekea wananchi wake kuishi kwa miaka mingi nje ya Africa ya kusini kwa waafrica wenzao tangu 1962. Hali mbaya ya kiuchumi ni kutokana na ukweli kwamba tokea karne nyingi zilizopita rasilimali zao zilinyang'anywa na waliwezi. Waafrica wenzao wameanza kuhamia juzijuzi tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad