Recho "Nilipata Mchumba Uarabuni ila......"


“Nipo singo kwa sasa japo huko nyuma zilipita stori nyingi sijui Recho ameolewa Uarabuni wakati si kweli. Kule nilipata boyfriend lakini tulishaachana,” Recho Kizunguzungu ameiambia Global Radio .
.
Mrembo huyo alisema kati ya vitu ambavyo vimemuumiza maishani ni skendo ya kutumia madawa ya kulevya ambayo kwa sasa hapendi kuizungumzia kwani inamuumiza. “Ningependa tusiizungumzie sababu inaniumiza na haina ukweli,” alisema Recho.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad