Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe anatarajiwa kuzikwa Jumapili, Septemba 15, baada ya sherehe rasmi itakayofanyika Jumamosi. Mwili wake utarejeshwa nchini humo kesho kutwa kutoka Singapore.
Hata hivyo familia ya Mugabe haijakubaliana na serikali sehemu ambapo atazikwa kiongozi huyo wa zamani wa Zimbabwe.
Akizungumza na waandishi wa habari, mpwa wa wa marehemu, Leo Mugabe amesema tangu kiongozi huyo alipoondolewa madarakani shujaa huyo wa zamani wa uhuru, hali yake ya afya iliendelea kudhoofika.
Hata hivyo hajui mjomba wake alitaka azikwe wapi, lakini anaamini mazishi yatafanyika katika makaburi ya Mashujaa wa Taifa, kama ilivyopangwa kabla ya kutimuliwa kwake madarakani.
Robert Mugabe kuzikwa Jumapili, Familia yake yavutana na serikali
1
September 09, 2019
Tags
He deserves That...!!!
ReplyDeleteHe was an independence Icon.
I rememberJoshua Nkomo, Abel Muzorewa and Ndabaningi Sithole the had all their part and we need themto go down the Zimbabwe narrative history and we learn through them on their Legacy.
R.I.P our late freedom fighter .