Simba Yakwea Pipa Leo Kumfuata Kagera Sugar

KIKOSI cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara  Simba, leo kimeanza safari kuwafuata wapinzani wao Kagera Sugar mkoani Kagera.

Simba itashuka uwanja wa Kaitaba kesho kucheza mchezo wao wa tatu wa ligi ambao utakuwa wa kwanza kwao ugenini.

Kagera Sugar wao watashuka uwanjani kucheza mchezo wao wa nne na wa kwanza kucheza wakiwa nyumbani.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad