Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amesema taasisi na watu mbalimbali wamejitokeza kutaka kumsindikiza, pindi atakapotaka kurudi Tanzania, itakapofika mwezi wa 10.
Tundu Lissu ameeleza hayo kupitia andiko lake akieleza miaka 2 ya tangu aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma, na kusema kipindi cha miaka 2 kilikuwa cha kipindi cha mateso na matumaini.
"Kuna wawakilishi wa taasisi za Kidini na Kijamii, ndani na nje ya nchi yetu Wanadiplomasia kutoka nchi rafiki na Mashirika ya Kimataifa, pamoja na wawakilishi wa vyombo vya habari vya Kimataifa, ambao wameonesha nia ya kunisindikiza katika safari yangu ya kurudi nyumbani." ameandika Tundu Lissu.
"Katika mazingira haya, kurudi kwangu nyumbani hakuwezi kufanywa siri ni muhimu, kwa hiyo, tarehe ya kurudi kwangu nyumbani ijulikane wazi kwa kila mtu." ameandika Tundu Lissu.
Awali Lissu alitangaza kurudi nchini Septemba 7, 2019, lakini imeshindikana kwa kile alichokidai kuwa Daktari wake amemtaka kukutana naye mwezi wa 10.
Mtundu usidanganye Toto.
ReplyDeleteNilimuuliza Bwakila, alasema oktoba Novemba Febluali...!!!
Tikiti sijui Maji. mie ha sielewagi.
wengine wanasemga hali yamgonjwa badoni tete na madawa mchanganyiko yanaendelea kumpteza Neti weki mgonjwa.
Japo kuwa anaelewa kuwa pindi akitua tutampokea na kukaa nae kwa muda kwa Ajili ya usalama wake na maelezona taarifa zako na ziara zake za ughaibuni ambako aliruhusiwa na wauguzi wake ila kuludikwao hiyo luhusaBwakila na hata mimi tunashaka nayo.
Tundu Antipaas Lissu,usidang... Toto.
ReplyDeleteNilimuuliza Bwakila, akasema oktoba Novemba Febluali...!!!
Tikiti sijui la Maji. mie huwa sielewagi.
wengine wanasemga hali ya mgonjwa badoni tete na madawa mchanganyiko yanaendelea kumpteza Neti weki mgonjwa.
Japo kuwa anaelewa kuwa pindi akitua tutampokea na kukaa nae kwa muda kwa Ajili ya usalama wake na maelezona taarifa zako na ziara zake za ughaibuni ambako aliruhusiwa na wauguzi wake ila kuludikwao hiyo luhusaBwakila na hata mimi tunashaka nayo.
Kurudi atarudi huyu jamaa ni jasiri ndiyo maana adui zake wakaona hakuna njia nyingine ya kumdhibiti bali kumuua, huyu jamaa ameandaliwa na Mungu kwa ajili ya ukombozi wa taifa hili, ni lazima watu wafe ndiyo haki ipatikane na ni lazima atokee mtu mmoja jasiri miongoni mwa mamilioni ya watanzania.
ReplyDelete