Kijana Ahmed Abrahman Sheikh maarufu kwa jina la Ahmed_albaity kwenye mtandao wa Instagram, ambaye amekuwa akilala tu kitandani kwa miaka 12 bila ya kutembea kutokana na matatizo aliyoyapata mwaka 2007, amfunguka matso anayoyapata na safari yake ya matibabu tangu mwanzo mpaka kwenda nchini Ujerumani.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI