Wanajeshi wa Boko Haram Wajionea Cha Mtema Kuni Kutoka Kwa Wanajeshi wa Cameroon

Wanamgambo kumi wa kundi la kigaidi la Boko Haram waliuawa wakati wanajeshi wa Cameroon walipo wavumania katika eneo la Kaskazini mwa nchi hiyo.

Silaha zinazotumiwa na kikundi hicho cha kigaidi pia zilikamatwa wakati wa shambulio lililotokea Jumanne huko Manawadji, yanzo vya jeshi vilisema

"Magaidi walikuja kushambulia eneo hilo lakini hawakujua uwepo wa jeshi hilo. Wanajeshi waliwashambulia na kuwauwa saba papo hapo. Vita ya bunduki ilianza na ilidumu kwa zaidi ya saa tatu, wengine watatu waliuawa katika mchakato huo, " alisema afisa mwandamizi wa jeshi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad