Wanaume Watakao Baka Wanawake Kuhasiwa...


Mfalme wa Kabila la Zulu, Goodwill Zwelithini ametaka wanaume watakaothibitika kubaka wahasiwe ili kukomesha vitendo hivyo.

Zaidi ya wanawake 41,000 walibakwa kwa mwaka mmoja kuanzia Aprili 2018 nchini Afrika Kusini, sawa na zaidi ya tukio moja la ubakaji kwa kila dakika 15.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad