Wanigeria Wagoma Lupita Nyong'o Kuigiza Kama Mnigeria Kwenye Movie ya HBO

HBO Max imeibua malumbano makali mitandaoni baina ya Wakenya na Wa-Nigeria baada ya kumpa muigizaji nyota raia wa Kenya Lupita Nyong’o fursa ya kuigiza katika filamu yao ya Americanah kama mwanamke wa ki-Igbo.

Wanigeria wengi wanahoji kwanini waigizaji wao wenye asili ya Igbo hawakupewa fursa hiyo ya kucheza filamu ya Americanah inayotokana na kitabu cha Chimamanda Ngozi Adichie.

Je nini maoni yako kuhusu hili?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad