Watu 41 wakamatwa Afrika Kusini kwa kupora mali za wageni

Watu 41 wametiwa mbaroni nchini Afrika kusini kwa madai ya kupora mali za watu katika eneo lenye shughuli za kibiashara na kuchoma moto maduka yanayoaminiwa kumilikiwa na wahamiaji kutoka mataifa ya Afrika.

Maafisa wa polisi walifyatua mabomu ya kutoa machozi, na risasi za plastiki kujaribu kusitisha uporaji.

Ghasia hizo zilianza katika eneo la Jeppestown na kusambaa hadi Denver, Malvern, Turffontein, Tembisa na maeneo mengine ya vitongoji vya jiji la Johansburg.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad