Watu 50 wafariki kwa ajali ya Treni DR Congo


Watu wasiopungua 50 wamefariki siku ya jana asubuhi baada ya treni ya mizigo kupoteza muelekeo  na kuondoka kwenye njia yake kusini mashariki mwa Tanganyika nchini DR Congo.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa huo, Mulange Mpundu Natacha ajali hiyo ilitokea karibu na eneo la Mayibaridi ambapo treni hiyo lililojaa mizigo lilipotea kwenye njia zake.

Njia za treni nchini DR Congo zinaelezwa kuwa na rekodi mbaya ya kiusalama ambapo nyingi zilijengwa toka miaka ya 1960.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad