Wema Sepetu Awakataa Wenye Ndoto za Kumuoa...



Staa huyo mkubwa wa Bongo Movi Tanzania Sweetheart amesema ameona kuolewa na kuwekwa ndani kunamletea mizinguo tu kwani kunaweza kumrudisha nyuma kimaisha na kushindwa kufanya mambo yake ya kimaendeleo.

“Siyo siri, nimeshaghairi kabisa ishu za kuolewa kwa sasa.

Kama hiyo bahati haikuwepo huko nyuma, basi imeshapita maana mchongo wa kufunga ndoa sasa hivi ni kurudishana nyuma tu bila sababu za msingi,”

Wema mwenye miaka 30 ameiambia GPL akisisitiza sasa hivi ana mipango mingi ya kufanya siyo kuolewa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad