Naliona anguko la Harmonize tangu kujitoa kwake WCB


Wanazengo poleni na majukumu nimemfikiria sana huyu dogo naona anapotea vibaya sana na soon tu tutaanza kumsahau kwani jitihada anazozifanya sidhani kama zitazaa matunda.

Hivi kweli kiburi anachopata kwa hela za ukweni kitamfanya awe juu zaidi ya Mondi? Jibu ni hapana siku tu wakiachana na Sara ndo basi tena.

Halafu huyu jembe ni jembe anaweza kustahimili figisu za muziki wa bongo kweli au anampa kiburi dogo kwa sababu yupo kwenye peak?

Watu wanaompoteza dogo wanakosea sana na hawawezi mfikisha dogo popote. Nafikiri watu wabaya kwa Harmonize ni Jembe ni jembe, Zamaradi Mketema, Dully Sykes.

Wanampoteza sana wengi humu wanazungumzia mtoto akikua akajitaftie lakini Harmonize sio mtoto kwa Diamond. Harmonize hakupaswa kuondoka WCB kulingana na hali aliyokuwa nayo zamani na sasa hivi. Ushauri wangu kwa dogo muda anao, arudi tu kuomba yaishe aendelee na kazi WCB.

By Size 96/JF

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lokole, Huyu kijana ni haso mzuri na yuko juu juu zaidi Kileleni.

    Kaa mkao wa Kula, tegemea mambo mazuri zaidi na mtiririko waTunzo kama mvua.
    Mjerumani anafanya kazi ttena kazi zuri kweli kweli.

    Pia tunamshukuru Simba kututengenezea huyu Kiboko..!!

    Tunawaombea mungu wote mafanikio mema.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad