Afande Sele Adai Rais Magufuli Pekee Ndio Uwekewe UKOMO wa Miaka 30 Urais, Akimaliza Turudi Kwenye 10

Kuhusu kuondoa ukomo wa mihula ya urais, napendekeza mabadiliko yafanyike na yaandikwe kabisa kwenye katiba ya kwamba anayeongezewa mda ni Rais @MagufuliJP, akimaliza miaka yake 30 tunarudi kwenye utaratibu huu wa kawaida wa miaka 10 tulionao sasa hivi :Afande Sele
#Ukomo_Urais.

Toa maoni yako kisha #SHARE
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Swadakta.

    Kwa Jembe hhili la Perfomance Driven Micro Managment. Ni Haki yetu kwaKipenzi chetu African leadership game Changer.

    Pamojasaa Afande!! Magu wetu na tumuombe aendelee na tuzidi Kumuombea.

    Leo baada ya salat Ishaa tuna Dua yake
    wote mnakaribishwa misikitini. Allah amlinde na Mahsidi wanapo Husuu na kumtakia Afya na Siha Njema na Hekma na Upendo uliojaa BusaRa Kututumikia.

    Endelea Kuchapa Kazi mtoto wetu JPJM.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad