Ali Kiba Mjibu Diamond "Ukitaka Nikuweke Uchi Watu Wajue Unayonifanyia we Endelea na Kwenye Tamasha Lako Haji Mtu"



Ali Kiba Mjibu Diamond Platnumz hivi baada ya Diamond Kumualika Kiba Kwenye Tamasha la Wasafi Festival:

From @officialalikiba-  Usiniletee mambo ya darasa la Pili unaniiibia penseli alafu unanisaidia kutafuta .(UNIKOME) 
Mwanaume huwa anaongeaga mara moja tu sasa ukitaka nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia hata kwenye hilo tamasha hatokuja mtu sasa tuishie hapo nakutakia tamasha njema @diamondplatnumz 
#KingKiba 

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na kweli leave King alone hana wakati na mtu mbn yeye humsiki akikutajataja wewe fata yako wacha kuwa nyumba ya wenzako anajulikana anapenda sifa unapenda kujionyesha your ok lakini una chuki ya ndani kwa ndani ogopeni kumfanyia wenzetu ubaya yatawarudia tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad