Antonio Nugaz amuangukia Haji Manara ‘Siwezi kujifunza kwa mtu asiye na hela wala elimu, Anajisifia uboya’


Msemaji na Mhamasishaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa hana cha kujifunza kwa msemaji wa Simba Tanzania, Haji Manara.



Nugaz akiongoza na Bongo5 amesema Manara ni mtu anayeongea tu lakini hana kitu cha kumshawishi au kujifunza kwani hana elimu wala fedha.

Kwa upande mwingine Nugaz amewaomba Mashabiki wa Yanga Jumapili hii Oktoba 27 wajitokeze katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Kushuhudia mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Pyramids FC
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad