Aunt Ezakieli Afunguka Kuhusu kummiss Iyobe

MWANAMAMA mkali kutoka kiwanda cha filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewajibu wanaomhoji kama amemmisi Mose Iyobo, lakini bado hajammisi baba mtoto wake, Moze Iyobo.



Aunt ameliambia Gazeti la Ijumaa kuwa kwa upande wake amekuwa na tabia kwamba akishamalizana na mtu, huwa hana muda wa kumfikiria kwani siku zote anaangalia mbele na siyo nyuma tena.



“Nahisi labda Cookie (mtoto wao) ndiye atakuwa anammisi baba yake, lakini kwa upande wangu hapana, nahisi kama tumeachana jana tu,” anasema Aunt ikiwa ni miezi kadhaa tangu alipotengana na Moze Iyobo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad