Baada ya Kutoa Burudani kwenye Siku ya Nyerere Day Harmonize Amshukuru Rais Magufuli na Serikali kwa Hili


Msanii wa Muziki Bongo, Harmonize ameshukuru kwa Ujumla uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli kwa kumualika katika siku ya jana kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere na Kilele cha mbio za  Mwenge wa uhuru yaliyofanyika Mkoani Lindi.

Harmonize ametoa pongezi kwa viongozi wote wa serikali waliosimama kwa ishara ya upendo na kupendezwa na alichokifanya wakati akitumbuiza katika uwanja wa Ilulu.

"I don't play around when it's come to my beautiful country Tanzania.I was there 2 represent all Youth thanks again Mr President Doctor John Pombe Magufuli my number one supporter I'm grateful lakini pia kipekee kabisa nimshukuru mheshimiwa P.M. Kassim Majaliwa Kassim kwakunipa molari na msisitizo nisipitwe na hili tukio ukizingatia sikuwa nchini Ila kwa uzito wa kauli yako na kuthamini uwepo wa Serikali yangu pendwa nilifanikiwa kuwahi."

"Bila kusahau mama yangu makamu wa Rais Mama Samia Suluhu nakushukuru sana Na ile bahasha imefanya siku yangu ikawa ya kipeke mno. Pia shukrani za kipekee zikuende waziri mwenye dhamana Ya michezo sanaa burudani baba yetu Docter Harison Mwakyembe shukrani baba.Viongozi wote wa serikali mliosimama kwa ishara ya upendo na kupendezwa kile anachokifanya kijana wenu. Mungu awabariki Sana. #HappyBabaWaTaifaDay
#HappyKileleChaUkimbizajiWaMwengeWaUhuru."

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad