Banda na Zabibu Kiba Wapata Mtoto wa Kiume


DADA wa mwanamuziki Ali Kiba, Zabibu Kiba siku ya leo yeye na Mume wake wamebaatika kupata Mtoto wa kiume. Kupitia Insta Story yake, Zabibu ameposti picha ya mkono wa mtoto wake na kuandika ‘baby boy’ hali inayoashiria moja kwa moja kuwa amejifungua.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad