Clouds FM Wamshika Mkono Harmonize....Waanza Kumtangaza


Baada ya kukaa kwa muda mrefu bila ngoma zake au habari zake kusikika ndani ya Clouds Media hatimaye @harmonize_tz ashikwa mkono na Clouds Media kuelekea tuzo za #MTVEMA2019

Kupitia kurasa za mitandao ya kijamii ya @cloudsfmtz na @cloudstv  wamepost tangazo la kuhamasisha watu kumpigia kura @harmonize_tz kwenye tuzo za #MTVEMA2019.

Clouds Media wameandika 'Mpigie kura msanii @harmonize_tz kwenye tuzo za #Mtvema kwenye Kipengele cha Msanii Bora Afrika, ili uweze kumpigia kura bonyeza Link kwenye Bio yake.
#BestAfricanAct'. Jambo hili limeshtua watu na si kawaida na wadau wa mambo wanasema kuwa hili limewezekana baada ya Harmonize kuachana na lebo yake ya zamani WCB ambao ni mahasimu wakubwa wa Clouds Media

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad