Dar es Salaam Mambo Safi Yawa Kinara wa Matokeo ya Darasa la Saba 2019


Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kwa ufaulu wa mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba mwaka 2019. Nafasi ya pili ni Arusha na Iringa ukishika nafasi ya tatu, Mikoa mingine ni Kagera (4), Katavi(5) Kilimanjaro(6), Mbeya(7), Simiyu(8), Njombe(9) na Pwani nafasi ya 10.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad