DC Atibua Tukio la Ujambazi “Mlinzi wa Benki Alipanga Dili Waibe Milioni 70” (Video)



Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefanikiwa kulizuia tukio lililopangwa na  Mlinzi wa Benki ambaye alitaka kupora fedha zaidi ya Million 70 zilizotolewa Benki kwa ajili ya mikopo ambapo alikuwa ndani ya gari hiyo akisindikiza fedha hizo baada ya kuwasiliana na majambazi ili waweze kuvamia gari hilo na kupora fedha hizo.

DC Sabaya amesema Mlinzi huyo alizima simu baada ya kuwasiliana na Majambazi hao.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad