DC Atoa Amri Wanaishi Kinyumba Bila ya Kufunga NDOA Kukamatwa"


Mkuu wa wilaya ya Ludewa, Andrew Tsere ameagiza watu wote wanaoishi bila kufunga ndoa katika wilaya ya Ludewa kupelekwa mahabusu, kutokana na tabia iliyokithiri ya kuachana na kusababisha watoto wa mitaani wilayani humo.

DC Andrew Tsere ameagiza hayo wakati akiwa katika kongamano la kupinga mila potofu.

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uwahubirie neno la Mungu badala ya kuwakanata. Utajikuta umekamata hadi colleagues wako, majirani, ndugu, jamaa, marafiki, polisi mwenyewe, bwana jela, dereva wa gari la kwenda kumbeba, hakimu Asante

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad