Harmonize Atoa Burudani ya Kufa Mtu...JPM Ashindwa Kuvumilia Anyanyuka na Kucheza

Msanii wa Muziki, Harmonize ametoa burudani ya nguvu mbele ya Rais John Pombe Magufuli katika sherehe za Nyerere Day ambazo zimeambatana na sherehe za kilele cha mbio za Mwenge.


Muimbaji huyo aliitumia nafasi hiyo kuimba wimbo wake ‘Magufuli’ ambao ulionekana kuwakuna watu wengi pamoja na viongozi wa serikali na kumfanya rais Magufuli na yeye ainuke na kucheza.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad