Harmonize "Wananchi wa Tandahimba Hawawezi Kuikataa Kauli ya RAIS Mimi Kuwa Mbunge Wao"

Kauli ya Rais ni sheria! Kwahiyo siwezi kuikataa, nahisi hata wananchi wa Tandahimba hawawezi kuikataa! Kwahiyo tutakaa chini mimi na wananchi wa Tandahimba tujue tunaifanyaje kauli ya Mh Rais"

Amejibu @harmonize_tz kuhusu pendekezo la Mh Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli kuhusu kugombea Ubunge Jimbo la Tandahimba Mtwara.
#MmakondeKwenyeXXL

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad