Nipo kwenye lindi la mawazo kuhusu housegirl wetu ambae nilimpa mimba kwa bahati mbaya. Mimi nina mke na familia yangu huyu binti sasa anataka nimfanyie kitu mbaya maana mimba hataki kuitoa na kuondoka kagoma na muda unazidi kwenda mwishowe itaanza kuonekana
Sasa hivi anashinda kwenye TV tu na remote kazi hataki kufanya yote tisa, kumi sasa juzi Jumamosi usiku katumwa kazi na wife unaambiwa kamfanyia wife kiburi kisichosemekana katumwa akalete kitu dukani akakataa live akaambiwa akapike akakataa, akaanza kuongea kwa mafumbo huku akienda chumbani mimi nilikua bar kwenye mambo yangu.
Mdogo wangu wa kike ndio akazifanya zile kazi nyumba imekua very tense bomu linaweza kulipuka any time wife anamwandalia pesa zake aweze kuondoka maana kwa mawazo ya wife anadhani kwa kuwa hatujamlipa mshahara miezi mitatu mfululizo ndio maana analeta kiburi kumbe ni mimba.
Sijui niongee na Chale akodi wavuta bangi! Wakuu kati yenu kuna mwenye jawabu ya hili tatizo? Hivi kwanini huyu binti ananifanyia hivi!? Kwanini asikubali kupokea hela akaondoka, kila nachomwambia hataki, anasema eti nitamwacha, sasa Mimi simtaki tena, kwa nn tunalazimishana?
Wanaume wapo kibao why me? Wangapi wametoa mimba hawajafa? Mke wangu mwenyewe alishika mimba huku tuna mtoto mchanga wa miezi sita mbona aliitoa na hakufa? Sasa yeye ni nani hasa asitoe, mi naona nikodi wahuni tufanye elimination method.
Wadau nyumba inaungua naomba kwa imani zenu wote mniombee naahidi sirudii tena nikipona na janga hili maana wife wangu hanaga mchezo kabisa na mambo ya uzinzi msg tu ya simu alitaka kuniacha huko nyuma.Kuna mganga anaeweza kubadilisha matokeo ya tatizo kama hili?
By Navin-govind-JF
Kama ni story ya kutunga (i mean this story is n't real)sawa muitie huyo beki 3 wako wavuta sigara takatifu (bangi )but if is real then you've to think twice before doin'fun which'll cost you painfully ulivyokuwa ukimkojolea shahawa zako ndani ya kuma yake huyo beki 3 wako bila ya kutumia kinga (condom)hukujua kuwa mwisho wake ni mimba?"eti amepata mimba kwa bahati mbaya na mimba ya bahati nzuri ikoje hiyo?Watu kama nyinyi ktk karne zile za zamani hukumu yenu ilikuwa kupigwa mawe jangwani mpaka unabloo kwa tamaa za dakika 5 au 10 tu so mr.kupata mimba kibahati mbaya UMEVUNA ULICHOKIPANDA"Yafurahie mavuno yako usisumbue watu wana mambo yao mengi ya muhimu ya kufanya katika hali hii ngumu wanayoikabiri kimaisha usiwatie watu stimu HIT THE ROAD AND DON'TCOME BACK ANYMORE WITH UR FUCKING STINKING AND DISGUSTING FANTASY STORIES HERE OR SHUT THE FUCK UP! BE SERIOUS MAN!!!
ReplyDeleteJilipue tu kama alivyojilipua daiamond usubiri matokeo, usithubutu hiyo akili ya kuita wavta bangi, itakuletea matatizo zaidi. Kama kweli utarudia, hayo maneno mweleze mkeo ili aamue kukusamehe au akuache!!
ReplyDeleteJilipue tu kama alivyojilipua diamond kwa mobeto usubiri matokeo, usithubutu hiyo akili ya kuita wavuta bangi, itakuletea matatizo zaidi. Kama kweli hutarudia, hayo maneno mweleze mkeo ili aamue kukusamehe au akuache!!
ReplyDeleteGood morning, kwanini nyinyi wanaume wengine mnapenda kujidharaulisha mpaka unatembelea na house girl wako? Kwani kitu gani anacho mkeo hana au kunikuta tu ujaribu kila kitu sasa kama alivyo sema vuna ulicho panda wakati unafanya kitendo hicho hukujuwa kwamba hii inaweza kutokea?
ReplyDeleteMhhh... Hamna Tafsiri njema na Uhalisia ..Wewe ni Hausi boi.
ReplyDeleteMke ulienae si Saizi na levo yako.
Mwache akaolewe na Family meni. c ww.