JE, Wajua Chanzo Cha Ugonjwa wa Saratani



Kansa ni ugonjwa unaotokea katika viini vya mwili vinavyohusika na kurithisha tabia kutoka kizazi kimoja hadi kingine (genes)

Ugonjwa huu unaotokana na kubadilika kwa genes zinazohusika na ufanyaji kazi wa seli za mwili, na hasa zile zinazohusika na namna seli zinavyokua na kujigawa

Mabadiliko haya yanaweza kuwa ya kurithi kutoka kwa Wazazi au yanaweza kutokea katika kipindi cha maisha ya mtu kutokana na hitilafu zilizotokea wakati wa kugawanyika kwa seli

Vitu vya kwenye mazingira vinavyosaidia kuharibu DNA na kukua kwa kansa ni kama kemikali zilizopo ndani ya moshi wa tumbaku, mionzi, X-rays, moshi wa magari na mionzi ya jua  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad