Justin Bieber Anunua PAKA Wawili Kwa Milioni 80 za Kitanzania

Justin Bieber(25) ameasili(adopt) mapaka hayo mawili kwa dola U$35,000 sawa na zaidi ya millioni 80 Za Kitanzania ambapo yanakuwa kama wanae yeye ni baba yao.

Mapaka hayo yanaitwa Sushi na Tuna ambapo tayari yameanza kuwa maarufu Instagram Kwa kupata followers zaidi ya laki 260+ Kwenye account yao ambayo ni verified tayari.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad