Justine na Hailey Bieber Wajitayarisha Kurasimisha Ndoa Yao


Justin na Hailey Bieber wanafanya matayarisho kwa ajili ya kurasimisha ndoa yao  tangu walipoanza kuwa pamoja mwaka jana, 2018.
Matayarisho hayo yalianza kufanyika Jumapili katika kituo cha  Montage Palmetto Bluff Jumapili iliyopita ambapo palikuwa na kila aina ya shamrashamra.


Katika hafla hiyo ambayo itakuwa ya aina yake, wawili hao watawafanya wahudhuriaji kutambua hasa penzi lao linavyoshika kasi.

Sherehe hiyo itapambwa na mastaa kibao wakiwemo Kylie Jenner, Travis Scott, Kendall Jenner, Ed Sheeran, Jaden Smith, Usher, Baldwin Brothers na kadhalika….

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad