Lukamba "Kati ya wanawake wote wa Diamond, Zari alikuwa msumbufu sana "


Mpiga picha wa C.E.O wa WCB Wasafi Media Diamond Platnumz ambaye pia ni Director Lukamba ameeleza na kusema kwamba kati ya wanawake wote wa Diamond Platnumz ambao amefanikiwa kufanya nao kazi Zari ndio alikuwa msumbufu sana.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad