Lupita Nyong’o "Kutokana na Weusi Wangu Nilikuwa Najiona Sina Thamani"

Lupita Nyong’o asimulia namna alivyokua akitambulika kwa weusi wake tangu alipokua mdogo Kenya. “Mdogo wangu wa kike alikua akiitwa mrembo kwasababu yeye si mweusi sana kama mimi. Nilijiona sina thamani”, anasema Lupita

Anasema kumtambua mtu kwa rangi yake kuwa mweusi sana au mweupe sana ni mwanzo wa ubaguzi wa rangi. Anaongeza kuwa inasikitisha hayo yanatokea katika nchi zetu ambapo wengi zaidi ni weusi.

Je ushawahi kunyooshewa kidole au hata kutaniwa sababu ya rangi yako?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad