HIVI karibuni kumekuwepo na taarifa za ugonjwa wa mdogo wa marehemu Steven Kanumba, aitwaye Seth Bosco, ambaye mpaka sasa amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili, wodi ya Mwaisela.
Global TV Online imefika nyumbani kwa Mama Kanumba ambaye ndiye anayemlea Seth, na amesimulia hali yake ambayo ilianza ghafla tu akiwa anatoka kanisani.