Mchekeshaji Idris aagizwa na RC Makonda kwenda Polisi


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameagiza Mchekeshaji, Idris Sultan aende kituo cha Polisi kilicho karibu nae baada ya kubadilisha picha ya Mh. Rais na kuweka sura yake.

Idriss kupitia ukurasa wake wa Instagram "Kwa siku moja tukabadilishana kazi ili a-enjoy birthday yake kwa amani."

RC Makonda ameandika "Naona mipaka ya kazi yako huijuwi. Nenda sasa hivi kituo chochote Cha polic uwambie Makonda kaniambie nije utakuta ujumbe wako Idris sultan."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad