"Mimi ni Nusu Mwanaume" - Gigy Money

 
Staa wa Muziki nchini Gigy Money, ameitaja sababu iliyopelekea kujiita jina la  'King Gigy', ambalo aliwahi kulitumia katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram,kabla ya kulitoa siku za hivi karibuni.


Akifunguka sababu hizo kupitia EATV & EA Radio Digital, Gigy Money amesema kujiita jina hilo ni maamuzi yake na maisha yake anayaendeesha mwenyewe bila kutegema danga au mtu mwingine yeyote.

"Yaani hata leo ingekuwa siku ya kina baba duniani ningeji-post mwenyewe, mimi ni nusu mwanamke na nusu mwanaume, kwa hiyo mimi ni Mfalme ni maamuzi ya kujiita jina hilo pia ni mwanamke ambaye najimiliki mwenyewe, sihudumiwi, sina danga wala sijawahi kudanga na haitakuja kutokea" amesema Gigy Money.

Pia amezungumzia kuhusu utaratibu wa watu wengi na baadhi ya mastaa kufanya "Birthday Party", ambapo kwa upande wake amesema.

"Sijawahi kufanya Birthday na sitofanya kwasababu sina pesa hizo, labda itokee kwenye siku hiyo watu walipe pesa waje kuniona, ila kwangu mimi kila siku nazaliwa na nilichaachaga kuwepo duniani naishi tu", amesema Gigy Money.



14 Cancer Signs And Symptoms You Should Know
Buzz Noble
|
Sponsored
New Japanese Innovation Allows Communication Between 40 Different Languages Instantly
Money News Tips
|
Sponsored
Online Dating Might Be More Fun That You Think
Dating Sites | Search Ads
|
Sponsored
Dubai Investment Properties Might Actually Surprise You
Property Investment | Search Ads
|
Sponsored
Identical Twins Deemed "Most Beautiful In The World," See Them Now!
Give It Love
|
Sponsored
Africa's Richest and Poorest Countries of 2018 - Check Out Tanzania, United Republic Of Rank
Everydaychimp
|
Sponsored
Play this Game for 1 Minute and see why everyone is addicted
River Combat
|
Sponsored
Rais Magufuli ashangaa Waziri wake kudharauliwa | East Africa Television
EATV
''Marekani wanatupongeza, hatuombi'' - Kabudi | East Africa Television
EATV

TOP STORIES

CURRENT AFFAIRS
RC Mbeya awatimua Kidato cha 5 na 6 awataka kurudi

ENTERTAINMENT
Seyi Shay ataja orodha ya wanaume alio-date nao

CURRENT AFFAIRS
Kama alivyosema Makonda ''Wameoga'' - Kamwelwe

CURRENT AFFAIRS
CHADEMA yatoa maagizo matatu kuhusu Halima Mdee



MOST POPULAR

CURRENT AFFAIRS
Waitara ahoji Makonda kutomshirikisha kwenye ziara

CURRENT AFFAIRS
Mbunge Ndanda, amtaka Mbowe awapishe wengine

LIFE & STYLE
Shilole ataka heshima kwenye kazi yake

SPORT
Kuhusu Yanga kuwa na mgogoro, Mwenyekiti ajibu

CURRENT AFFAIRS
Thamani ya mauzo DSE yapanda kwa asilimia 1800
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2019 East Africa Television Limited. All Rights Reserved

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad