Mlela anaswa na mrembo


UTAWAAMBIA nini watu! Mwigizaji kunako kiwanda cha filamu Bongo, Yusuph Mlela amenaswa na mrembo mpya na baada ya kubanwa ameomba mpenzi wake wa sasa, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ amvumilie tu. Mlela alinaswa na mrembo huyo juzikati kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel ambapo alipobanwa kama ni shemu mpya mjini, alisema ni rafiki yake tu.

“Unajua Ebitoke asipojikaza atakuwa hajielewi kabisa kwa sababu nina marafiki wengi wa kike, hivyo ajikaze tu na akinifuatilia anaweza kujinyonga,” alisema Mlela.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu man anajulikana a anapenda dezo mpandio nampa ya bibi Ebi wajinga ndio waliwao angetafuta hao hao bongo movie wenzake angeekwa mahali pake jamani wanawake kuweni makini sio mtu akishakwambia i love akaku pety pety unaona hee hapa ndio one . mwenzako anakula wewe be vyako halafu anasema usiku wake atamuobyesha mwenzako wewe mlela Mungu atamlipia Abu wee subiri to

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad