Mume Wangu Anatoka Kimapenzi na Mama yangu, Nimeona Meseji za Mapenzi Kwenye Simu ya Mume Wangu

Mimi ni mdada wa miaka 25, Nimeolewa Disemba mwaka jana.Yamenikuta mimi ninampenda sana mume wangu (lakini mmmh). Kwa ufupi mimi nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama but baba alifariki 1998 nikiwa mdogo sana, mama yangu hakuolewa tena.

Basi maisha yakaenda poa sana kwasababu babu yangu alikuwa na kipato sana pia mama ni mfanyakazi so nikasoma hadi form 6, nikaenda London kwa Degree na Master nikamaliza 2013. Basi nikarud Tanzania.

Nikapata kazi nzuri sana na yenye kipato kizuri, so nikawa naishi na mama yangu vizuri sana.

Mwaka juzi mwezi wa 3 nilikutana na huyu mume wangu aliyenioa, basi mahusiano yalikuwa mazuri sana ikafika kipindi ikabidi nikamtambulishe kwa mama.Basi akawa anakuja home hadi ulipofika muda wa kuoana.

Sasa mimi sijui chochote kinachoendelea kati ya mama na mume wangu, yaani (..) mama yangu ana miaka 39 kwa sasa kwani mimi 25, aliwahi kuzaa sana so tunaendana sana.

Mume wangu ana miaka 34, Sasa mimi nilikuwa najiuliza mbona Mume wangu na mama yangu wako karibu sana but nikasema no its my mam hakuna baya.

Ikaendaaa muda kidogo, sasa jana usiku mume wangu alirudi saa 6 usiku kwa mara ya kwanza toka tumeoana, leo asubuhi akaenda mazoezi, nikachukua simu yake nikakutana na meseji hizi.

Mume wangu: nimefika lv

Mama yangu: oky lv tell ume enjoy sex

Mume wangu: Sana na kesho tena tukutane mapema sana nataka nime na mda wa ku enjoy zaidi au unasemaje?

Mama yangu: Okey pouwa usijali nitafanya utakavyo sina pingamizi usisahau kufuta msg si unajua tena lv binti asije akaona

Mume wangu: usijali kipenzi.

Basi nikarudisha simu nikachukua piliton 2 nikanywa nikalala, now ndio nimeamka.

I don't knw wat to do, plz nisaidieni sijamwambia mtu.

Naombeni Ushauri...

By hsankey/JF
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hata kama ni mumeo mwambie akuache na mueleze kila kitu hata mama yako pia mwambie alafu wewe endelea na maisha yako kapime kama upo sawa muombe mungu atakujalia tu usikate tamaa

    ReplyDelete
  2. hafai hata kdg huyo mume hebu vuta picha km ww ungetembea na baba mkwe wako nini kingetokea endapo mumeo angejua achana nae na mama yako mwambieili huo mtindo akome uendelee na maisha yako km ametembea na mama yk hata madada km ungekua nao pia angewapitia wote achilia mbali majirani

    ReplyDelete
  3. Huyo ni mshenzi achana nae umwambiye ukweli hata mama yako mwambiye ukweli na kama unaweza hama kaishi peke yako.

    ReplyDelete
  4. Be open to your MUM and tel her to stop this bad habit, but don't divorce your husband.

    ReplyDelete
  5. U tell them the truth

    ReplyDelete
  6. Huyo mama ni muuaji leo ww mwanae kafanya hivyo, huyo hata sumu atakuwekea ufe aenendelee na upuuzi wao. achana nao hao wanyama kabisa waendeleze unyama wao. Take you are time.

    ReplyDelete
  7. dada sikia wewe tulia kabisa kimyaa ikifika jioni mmekaa wote waeleze kuwa umejua usiendele na mahusiano na huyo mwanaume sababu mama yako hawezi kubadilika ni mama yako tu na huyo mume hawawezi kuachana hata wakiachana tayari wana histori wakionana wanakumbuka wanaume wako kibao huyo muachie mama yako we tafuta mwingine mkae mbali na mama yako mama hafai kabisa huyo puuuh mama gani mungu aninyime mama kama huyo

    ReplyDelete
  8. Kama Ujatoa Maamuzi Kwanza Angalia Sababu Ni nini Inawezekana Huwa Unamyima Mara kwa mara akiitaji au mama wako akawaanamtega mkwe wake unajua wanaumu huwa tuna hisia kali na za haraka kuachana na mumeo sio nyia ya mama wako kuachana na mmeo ili pole sana dada

    ReplyDelete
  9. Ila jitaidi mumeo na mama yko wajue kama we unajua kinacho endelea kati yao

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad