Mwanaume Aishtaki Kampuni ya Apple Kwa Kumsababishia Awe Shoga....


Mwanaume mmoja wa Urusi ameishtaki kampuni ya Apple, akidai kuwa programu ya GuyCoin inayopatikana katika simu ya iPhone ilimgeuza kuwa shoga.

Amesema anataka alipwe paundi 12,000 kwa sababu program hiyo imemuathiri mpaka sasa ameolewa na bwana,

Amesema alivyopita kwenye program hiyo ya Guycoin akajikuta anatamani kujaribu kufanya mapenzi ya jinsia moja ndipo akaamua kutafuta mwanaume, amesema kwa sasa ameathirika kimwili na kiakili mpaka haelewi atawaaelezaje wazazi wake kuwa ana mume.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Look ole wake Mrusi mweusi asije Bongo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad