Mwijaku aonekana kwa mara ya kwanza kwenye mkutano wa waziri na waandishi wa habari


Mwanasaikolojia wa masuala ya mapenzi, na mwanaharakati anayewatetea wanawake Tanzania Mwijaku ameonekana kwa mara ya kwanza baada ya kudaiwa kusambaza picha za utupu za msanii Menina.



Mwijaku alionekana kwenye mkutano wa Waziri wa Sanaa Habari Utamaduni na michezo Dkt. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa anafungua Jukwaa maalumu na kuuza uzoefu na ubunifu kwa watu wote wanaohusika na uandaaji na urushwaji wa maudhui Tanzania.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad