Mwimbaji Tajiri Rapper P Diddy Aamua Kubadili Jina Tena...


Diddy hatanii, ameamua sasa kujiita "LOVE" kama ambavyo alitutangazia kipindi cha nyuma. Mtandao wa The Blast umeripoti kuwa mkongwe huyo amefungua faili katika mahakama ya mjini Los Angeles kuomba kubadilishwa kwa jina lake.Diddy

Katika maombi yake, Diddy ameomba kutumia jina la (Sean Love Combs) badala ya Sean John Combs ambalo ndio jina lake la kuzaliwa. Jina hilo litatumika hadi kwenye nyaraka za serikali na vitambulisho.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad