Mzimu wa Ajali Waendelea Kumaliza Watu...Watu 13 Wafariki na 35 Kujeruhiwa Katika Ajali..


Ajali imetokea usiku wa kuamkia leo Oktoba 04 katika barabara ya Kisumu-Kericho karibu na eneo la Awasi‬ na chanzo chake bado hakijajulikana

Basi la abiria la Eldoret Express kutoka Kisumu limegongana uso kwa uso na Lori‬ lililokuwa likielekea Kisumu

Majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya Rufaa na Ukufunzi ya Jaramogi Oginga Odinga (JOOTRH), Hospitali ya Misheni ya Awasi na Hospitali ya Hope huku waliofariki wakihifadhiwa katika hospitali ya Ahero

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad