Naombeni Msaada KILA Nikifanya MAPENZI Bila Zana Napata Ujauzito


 Mimi ni Msichana wa Miaka 25 , Tatizo langu ni kuwa kila nikifanya mapenzi na mvulana bila kutumia zana lazima nipate mimba, nilianza kuwajua wanaume toka nikiwa na miaka 21 siku niliyotolewa bikira nilipata mimba pia ikanibidi niitoe kwa vile nilikuwa nasoma ..sasa kuanzia kipindi hicho nikifanya tu lazima nipate mimba nimeshatoa mimba kumi na tano mpaka sasa, Nimejaribu kufuata Calender lakini wapi...Je hili ni Tatizo ama nimelogwa ?

NAFASI ZA AJIRA 21 ZILIZOTANGAZWA LEO BONYEZA HAPA


Nimekuwa mtu wa kufanya abortion kila wakati mpaka naogopa sasa nisije haribu kizazi changu nikashindwa kuzaa muda muafaka wa kuwa na mtoto....................Help pliz

Mimi Mdau ..Msinitukane jamani


NAFASI ZA AJIRA 21 ZILIZOTANGAZWA LEO BONYEZA HAPA

Tags

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Abortion 15 kwa wanaume wangapi?next time kwa ngono zako zembe utatoka na mawili,kifo abortion na kifo HIV.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HASWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MWE HATA AIBU, KWELI WEWE MUUWAJI NADHANI HATA SHETANI ANAKUCHUKIA SANA.
      HEBU JARIBU KWENDA KITUONI KUJISTAKI MWENYEWE ILI UHUKUMIWE ILI UONE UBAYA ULIOFANYA NA KAMA UNAOGOPA JARUBU KUMRUDI MUNGU KWA TOBA NA SARA UTASAMEHEWA.

      Delete
  2. nenda hosptal kafanye check up sio wachawa wala miziw unatatzo la kizaz na unapo zid kutoa ndo mwisho wa watoto unakaribia

    ReplyDelete
  3. unaonekana mrembo mzur lakin tak care hilo ni tatzo kubwa sana

    ReplyDelete
  4. Jamani mbona age yako na idadi ya mimba haviendani?so kila wiki lazima uvunje amri ya 6?Punguza bhana

    ReplyDelete
  5. Dah! Inakubidi ukaandike record ya mwaka yaani ndani miaka mitano umesha abort mimba 15 ?

    ReplyDelete
  6. Mungu atakulipa kwa kuuwa viumbe Visio na hatia, kesho kiama roho 15 zitakwenda kukuzunguka na kukuadhibu mbele ya M.mungu, inamaana ww kila mwaka umeuwa watoto 3, ndani ya miaka 5 roho 15, inabidi uwende hosp ukachunguze akili yako iko sawa kweli?? Mámbo mengine ata kutaka ushauri ní aibu kwa wanawake wenzio; wewe ní muuwaji na unafaa ushtakiwe sio ushauriwe 15!!!! Are you okay??

    ReplyDelete
    Replies
    1. hili nalo neno ndugu yangu yaani mimi nimebaki hoi kwa maelezo yake, kama ni mtu mwenye akiri timamu hawezi kuuwa watu 15! aisee wewe ni nuksi kabisa hata wanaokupa mimba nao mafara kama wewe mnafana kuanzia akili hata mawazo.
      Usindwe tena kutoa mimba na ukitoa jaribu kutangulia mbele ya haki kwani hawa waliotangulia wanakusubiri.

      Delete
  7. Naukifika kwa sir god utakuta watoto wako woote uliowatoa wanakulilia!mrudie Mungu wako.

    ReplyDelete
  8. mmmh'
    hebu fanya medical check up kwanza.

    ReplyDelete
  9. Lakini mpige mahesabu vizur (kila ak du)kwa maana kwamba ni mara kumi na tano kwa miaka minne hagogwi sana.watu wanagongwa mara 5 kwa wiki je miaka 4

    ReplyDelete
  10. dada usitoe tena utakufa. Cha msingi tafuta mume atakaekufaa kuliko kuuauua ovyo.

    ReplyDelete
  11. waabie wamwagie nje wakati wa ku do.

    ReplyDelete
  12. upo hatarini sana kwa kitendo unachokifanya

    ReplyDelete
  13. Unapaswa kujua dhana ya msingi ya tendo la ndoa ni kutafuta watoto, kwa hiyo ni ajabu ukiomba msaada katika hilo, ulitaka ukifanya upate nini?

    ReplyDelete
  14. Kwa kweli kwa ushauri wangu ukifanya tendo la ndoa bila kinga kuna option tatu aidha upate mimba, ugonjwa au vyote, kabla sijakushauri ningependa kujua katika haya lipi unapendelea zaidi?

    ReplyDelete
  15. Pole sana mdogo wangu,ni kwel una matatizo mana sio kawaida(abnormal) kabisa,hebu jarib kwenda hospital kwa maelezo na uchunguz wa kina mana zipo sabab nying zinazosababisha mwil wa mwanamke mmoja utofautiane na mwingne,naiman utapata uvumbuz na kupona kabisa otherwise mdog wang usipendelee kutoa mimb kwanza unakitia udhaifu kizaz manake unaweza kuwa tasa,pili kiiman hakuna dini inayoridhia manake mungu hapendi ila m/mungu ni mwing wa kusamehe unayo nafas kumuomba toba na inshaalah atakusamehe..!Pole sanaaaa.nipo pamoja kukuombea upate tafifu.take care.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ushauri wangu ni mmoja tu. Mambo kwa soksi .Nashangaa unapenda kavu. Utakufa.

      Delete
  16. Dah wewe dem kweli katili! kama unapenda ngono bora utoe mkundu huwezi kupata mimba kuliko kuuwa vimbe vya m/mungu!

    ReplyDelete
  17. Inawezekana ukawa na tatizo katika mfumo wa uzazi

    ReplyDelete
  18. Ikishindikana kabisa tumia kinga za kitaalam

    ReplyDelete
  19. Sasa Mdada Ikishindikana We Njo Kwangu Mbona Mrembo 2 Nitakuoa Na Hao Watoto Watakuwa Wangu Ok?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad