Ombaomba Afariki, Aacha Sarafu Zinazohesabiwa Kwa Saa 8

OMBAOMBA mmoja nchini India amefariki na kuacha sarafu zilizohesabiwa kwa saa nane. Polisi wametumia muda huo kuhesabu sarafu hizo zilizoachwa na ombaomba huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 82.

Mzee huyo amefariki katika ajali ya treni iliyotokea huko Vashi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad