Rais Magufuli Awatupia Dongo Wanaotaka Amtumbue Waziri Mjuu "Sikutoi Utaendelea kuwa Waziri Mkuu, Wanaochonga Wachonge See"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amemmwagia sifa Waziei mkuu  Kassim Majariwa kuwa amekuwa msaada mkubwa kwake kwani anamsaidia sana kazi na amemuahidi kumuacha katika  ngazi hiyo.

“Waziri Mkuu Hongera sana unanisaidia sana kazi, wengine wanaweza sema nakupa kichwa ila ukweli ni huo na una kichwa kizuri, unafanya napumzika nikikutuma sehemu unafanya kazi, kwahiyo wanaochonga wachonge sana wanaonuna wanune ila sikutoi utaendelea kuwa Waziri Mkuu”-JPM

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad