Web

Rais Magufuli, Mkewe Wajiandikisha Kupiga Kura Dodoma


RAIS  John  Magufuli  na mkewe,  Janeth Magufuli, wamejiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 .


Wamejiandikishia Chamwino mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad