Rayvanny Aliamsha Dude kwa lulu Diva...... Daimond Ahusishwa

MANENO huko Instagram kama yote! Kisa tu, Rayvanny alimuita Lulu Diva Shemela kwenye ukurasa wake wa Instagram. Rayvanny aliposti picha ya Lulu Diva kwenye ukurasa wake na kuandika gimidat mood from shemelaaaa Luludiva na kusindikiza na alama za maua.

Luludiva naye alimjibu: “Shemelaaaa rudiii.” Baada ya muda mfupi, watu walijiongeza na kusema eti kuitana huko Shemela kunamaanisha kwamba Mondi na Luludiva, penzi ni motomoto na watu kuanza kumzodoa Tanasha kuwa hana chake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad