Simba, Yanga Kibaruani Leo

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wtakashuka uwanjani kucheza mchezo wa kirafiki sawa na watani zao wa jadi Yanga ambao nao pia watakuwa kazini.

Simba imejiwekea kambi mkoani Kigoma ikiwa inajiaandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC utakaopigwa Octoba 23 itashuka uwanja wa Lake Tanganyika kumenyana na Aigle Noir ya Burundi ikiwa ni mchezo wa kirafiki wa Kimataifa.

Yanga nayo inajiaanda na mchezo wa Kimataifa dhidi ya Pyramids ya Misri itakuwa uwanja wa Uhuru kumenyana na Pan Africa.

Mechi zote leo zitapigwa majira ya saa 10:00 jioni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad