Simba Yapigwa na Mwadui 1-0


KLABU ya Simba leo imeonja machungu ya kupoteza mchezo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2018-19 baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mwadui FC katika Dimba la Kambarage, mjini Shinyanga.



Bao pekee katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa CCM Kambarage, Shinyanga limefungwa na Gerald Mathias katika dakika ya 32. Licha ya matokeo hayo Simba SC imeendelea kukaa kileleni mwa ligi hiyo wakiwa na pointi zao 18.


Matokeo ya Mchi za leo;

FT: Mwadui FC 1-0 Simba SC (Gerald Mathias 33′)

FT: Mwadui FC 1-0 Simba SC (Gerald Mathias 33′)

FT: Ruvu Shooting 1-0 KMC (Santos Mazengo 17’)

FT: Kagera Sugar 2-0 Namungo FC (Frank Ikobela 12’, Yusuphu Mhilu 69’)

FT: Mtibwa Sugar 2-1 Coastal Union (Dickson Mbekya 20’, Jaffary Kibaya 56’ : Dickson Daud OG)

FT: Lipuli FC 2-1 Polisi Tanzania (Kenneth Masumbuko 34’, Paul Nonga 74’ : Mohamed Mkopi 73’)

FT: Singida United 1-2 JKT Tanzania (Ramadhan Hashim 55’ : Danny Lyanga 36’, Adam Adam 41’)

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad