Simbu aipeperusha vyema bendera ya Tanzania China, Ashinda medali ya fedha

Mwanariadha Alphonce Simbu amefanikiwa kupeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano ya majeshi ya Dunia na kujinyakulia medali ya Fedha (Silver).


Mwanariadha huyo ‘private’ akiwakilisha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, alimaliza baada kukimbia saa 2:11:16 huku akiwaahinda wakimbiaji wengne 95 kutoka nchi zaidi ya 30.

Katika mbio hizo mshindi wa Kwanza ni Luche Sumi kutoja Bahrain aliyekimbia 2:08:28, mshindi wa tatu ni mwanariadha kutoka Rwanda John Hakizimana akiyekimbia kwa karibu nyuma ya Simbu kwa 2:11:19.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad